Jamani sikuwepo nilienda kumsalimia mama yangu, hapa alikuwa nakula supu kidogo ili kuongeza umri! Pia nilikuwa na vitegemezi vyangu kutembelea makaburi ya wazee!
4 comments:
Anonymous
said...
mzee wa Sumo mpaka sasa una watoto wangapi? Maana naona hawa binti kama mapacha vile??
vizuri sana mzee wa sumo mama anaoneka yuko na afya vizuri kujali wazazi sasa mbona unaleta picha za watoto tu mke wako yuko wapi au ndio na yeye alienda kwa wazazi wake kula sikukuu maisha ya kileo
4 comments:
mzee wa Sumo mpaka sasa una watoto wangapi? Maana naona hawa binti kama mapacha vile??
Mzee wa Sumo naombe niwe mkwe. Usijali umri wangu bado mdogo na nitasubiri wakue!!!
vizuri sana mzee wa sumo mama anaoneka yuko na afya vizuri kujali wazazi sasa mbona unaleta picha za watoto tu mke wako yuko wapi au ndio na yeye alienda kwa wazazi wake kula sikukuu maisha ya kileo
mhh watoto wa siku hizi bwana yaani wao wanasikiliza ipod sisi tulikuwa tunagombania mkulima (Iam joking)
Post a Comment