Tuesday, March 25, 2008

MAMBO YA KWA BIBI

Kitegemezi changu 'Junior' mbali na stadi mbalimbali anazojifunza lakini kwa kutia ndani yuko fit, nilishindwa kumcontrol si unajua tena mambo ya kwa bibi? Mtoto hagombezwi!
Cheki kumbe watoto wa Dar es Salaam tu ndio wanakuwa na vimchezo vya toys za kununuliwa kwa bibi mpaka miti ilipandwa nimemwacha huko nasikia tayari katengeneza manati!

3 comments:

Anonymous said...

Mboba ulisema unakwenda Comoro? Au unaogopa milio ya risasi? Au umekwenda kuaga kwa mama?

Mzee wa Sumo said...

Jamani nilikuwa niende huko lakini mambo ya vita kama mnavyojua watu wa Serikali ambao ndio wamepeleka waandishi wameamua kuacha waandishi wa Mwananchi na Tanzania Daima. Bado hawajafafanua kwa nini wametutema lakini ndio nchi yetu ilivyo.

Anonymous said...

He looks very active.usome uwe mwandishi kama baba au ujuzi mwingine sio kama wale wanaong'oa mabomba(yataa) barabarani ili waweze kuuza kwa elfu nane(ref to michuzijr)