Wednesday, March 19, 2008

KOMANDOO WA BONGO

Vitu adimu nchini kama hawa, kadhaa wameishaingia Comoro, hawa ndio makomandoo wetu wanaotarajiwa kufanya vitu kwa muda kofia hiyo sio ya MP! Cheki alivyo fit sio mdebwedo kama wale wa chini!

5 comments:

Anonymous said...

NAona hawa jamaa sasa wamepata muda wa kwenda wa kutumia mafunzo waliyopata. Jeshi letu limekaa mud amrefu bil aya kutumika Hongera JK kwa kuwapatia vijana sehemu ya kula zoezi!

Anonymous said...

Hata mimi nimefurahi saaana kuona Raisi anawapa deal ma soldiers wetu ili wawe gado.Ukizingatia sisi tumezungukwa na majirani wenye migogoro ya kivita ni vyema na sisi tuwe imara kinoma.Sio ajabu akatokea kichaa mwingine kama mjomba Amin Dada na kutaka ku test zari na sisi.

Anonymous said...

hongera JK kwa kuwapa sijana kazi,tanzania ni moja ya jeshi linaloaminika na kutegemewa africa,lakini kipindi kwa karibuni lishuka hadhi na kuanza kudharaulika kwa kukaa kimya,nakumbuka ka nchi kadogo kama burundi walianza kutuchokonowa,nadhani mapinduzi watayoonesha huko comoro yapawaonesha waafrica kwanini nchi nyingi za kusini mwa africa wanaiheshimu tanzania kijeshi.brazo jk

Anonymous said...

tatizo lako wewe Bukuku, huwa hu update Blog yako kwa picha. Sijui unapoteaga wapi halafu unaibuka. Sisi tunataka habari.

Otherwise unafanya vema, tatizo lako ni hilo tu la kutokuwa na jipya every day.

Anonymous said...

huyu jamaa nadhani anapenda sana kuishi nyumba ndogo, na huko nyumba hakuna net, na akifika huko anasahau kama tunamdai news, kwanza alisema atakuwa comoro kutoa news za vifaru vyetu, au vifaru bado vinasafiri baharini havijafika comoro?, au umepanda mtumbwi wa tanga kwenda comoro? unasubiri mkondo wa upepo ugeuke ndo safari iendelee?, kama hutaki rudisha kamera yetu tumpe mjengwa awe nazo 2, moja ya kupiga picha za iringa nyingine ya dar.