Friday, March 07, 2008

MTAJI WA MASKINI

Jamani wote tuko mjini kutafuta, lakini kuna wenzetu wanatafuta kwa shida! Sasa mshikaji akikutana na huyu jamaa hata kama ana mshiko wa kifisadi atang'ang'ania auziwe suruali kwa sh1,000! sasa hebu zihesabu hata akiuza zote leo ataweza kupata sh100,000?

No comments: