WATANZANIA HALISI
Wengi mnakula maisha ya mjini na kujifanya ndio watanzania halisi lakini tunapozungumzia mtanzania ni kama hawa watoto ambao hata matumaini ya kuiba pesa kifisadi hawana zaidi ya jembe!
Na hawa ndio wazazi wao ambao wengi tuna malengo ya kuwaongoza kwa kuwapiga 'fix' tutawafikisha katika Tanzania yenye neema!!!! jembe kwao limekuwa kama laana! Kwao upendo kwa sisi wenye nacho ni mkubwa mno
No comments:
Post a Comment