Saturday, March 08, 2008

MTAKOMA

Yaani huyu mtoto, Happy wa Tabata Kimanaga kanimaliza sana kwani inaonyesha mazoezi yake si mchezo. Design hii watu waliozoea kubaka wataweza hapo baadae!!!???? Hii katik amaandalizi ya African Woman of the future!

5 comments:

Anonymous said...

Mbona kama watoto wote wa kike wangekuuwa na utaalamu huu wabakaji wangekoma? Mafunzo kama haya yanatakiwa kutolewa mara kwa mara kwa mademu ili wanaopenda vya bure wakome! Hivi ulaya kuna mafunzo kama haya?

Anonymous said...

ulaya hakuna ndo maana wabakaji wengi, yapo china, ulishasikia demu kabakwa china??? au ulisha sikia mtanzania kafungwa china kwa kubaka? ulaya na usa ndo wamefungwa wengi!

Anonymous said...

Msizungumzie kubakwa tu, ukifanya mazoezi hayo mtoto wa kike ujuwe na bikra haikai tena (kwa misamba hiyo bikra inatoka), sasa faida ipo wapi?

Anonymous said...

huku ni kuliana pesa tu. Hamna lolote hapo. Kwenye ngumi za ukweli ukweli hayo yote unasahu.

Anonymous said...

kwani bikra ina faida gani kwa demu, hata kama ikikaa miaka 30 bado tu itatoka, bikra ni makuzi tu haina umuhim wowote katika mwili wa demu!