Wednesday, March 26, 2008

MY BRO

Huyu ni brother Nsubi kutoka yeye ndio mimi, nilipokuwa Dodoma nilimkuta kajichimbia shambani kwake akilima mazao mbalimbali na kufanya biashara zake. Sijui fisadi anajificha kwenye kilimo? Mbona wengine hawafanikiwi?

No comments: