Thursday, March 27, 2008

MVUA DAR

Mvua zikinyesha Dar zinakuwa na utamu wake kwa wavaaji wa ndala, watu wanawacheka lakini jana walikuwa wanapeta tu!
Ndio waliofanikiwa kukatiza sehemu kama hizi na kurejea majumbani wakiwa wamekunja tu suruali. Magari yenyewe yalijuta!
Hapa ilikuwa mwanzo wa mvua baadae ilikuwa dhahama, watu hawakulala maeneo mengine ya Kandoro!

No comments: