Baada ya hekaheka na pilika nyingi, watu walisema na wakachoka mwenyewe ametulia tu bush kwake kiluvya nakula upepo akisikilizia kwa mbali vikashfakashfa mjini!
2 comments:
Anonymous
said...
huo ndio uzuri wa Tanzania jamaa yangu.yaani unaziibaaaaaa halafu majamaa wanakushikia bango siku moja ,mbili ,tatu kisha haoooo wananyamaza.Halafu sasa unajipooza kivulini na mabilioni yako bila noma kabisaa.ohoo Tanzania,Tanzania, nakupenda nchi yangu!!!!!
Kweli tupu, wabongo mnachonga sana na kusheherekea mambo ya ufisadi lakini hawajui wapi wanakokwenda leo wanasherehekea EPA na kutaka kujua nani karudisha, badala yakupigania punguzo la bidhaa muhimu baada ya kupata siri mtungi

Post a Comment