Saturday, March 08, 2008

SIKU YA WANAWAKE

Jamani nani kama mama, angalia sura ya African Woman! A real woman, mama, mlezi mpenzi na kila kitu. Nawatakia kila la kheri wasomaji wote wa blog hii katika kuadhimisha siku ya mwanamke wa kiafrika. They are just too great!

2 comments:

Anonymous said...

Yaani huyu mama ni mwafrika kabisa kilemba chake kama mwalimu wetu wa darasa la kwanza enzi hizo.

Anonymous said...

She is natural beautiful she doesnt need any make over unlike others.we are great indeed thanx mpoki