UMUHIMU WA MVUA
Wakati wakazi wa dar es Salaam wakilalamika kwa mvua zinazonyesha nchini kwa sasa, mikoani wakulima wanamshukuru Mungu kama huyu Bwana Chikumbi alilazimika kuanza kupalilia mahindi shambani baada ya kufufuka matumaini ya mavuno baada ya mashamba mengi kusinyaa. Pamoja na hifu ya njaa mwaka huu mvua zitasaidia wakulima kama hao wa mkoani Dodoma kupata mavuno ya kutosha.
No comments:
Post a Comment