Friday, March 07, 2008

VICHWA VYA NCHI

Hawa ni watoto wa kike waliopasua katika masomo ya elimu ya Msingi mwaka jana na kuwashinda wenzao wote!
Na hawa ni wakiume ambao walifanya kweli wakiwa na certificates zao walipokabidhiwa naRais Jakaya Kikwete!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera vijana, nyie ndiyo future yetu.I'm proud!!!

Mzazi....