Wednesday, April 16, 2008

AFRICAN BEUTY




Leo tunaangalia urembo wa Swazi, samahani kwa wengine ambao wataona pich ahazifai kun amdau ameleta nikaona tushiriki pamoja.

2 comments:

Anonymous said...

mtu mzima mie niulizie kitu kimoja tu kwa mdau!!viza ya ya huko na nauli kiasi gani!!kweli watu walioumbwa weekend balaaa......haleluyaaaaaaa

Anonymous said...

Hawa wasichana wawili wako bomba kweli nimewakubali, waliumbwa weekend.