Tuesday, April 15, 2008

DUNIANI KUNA MAMBO

Huyu jamaa sijui alionja maji ya bahari akaona yana chumvi akafikiri yalijazwa kwa mkojo? Au ndio maana tukioga fukwe za bongo chuumvi inakuwa imeongezeka?

1 comment:

Anonymous said...

Huyu Jamaa Sigara yake Ndogo!Ukimkurupusha tu ishatumbukia ndani,ndiyo maana yake.Au vipi?Unafikiri angekuwa na Mzigo au Hogo la Jang'ombe ungemwona hapo,subutu!