Ajali kama hizi tumezizoea katika maeneo mengi nchini na hutokea na kusababisha hasara kubwa. Lakini hii ni kiboko haijapata kutokea labda kama kun amdau kawahi kuona.
3 comments:
Anonymous
said...
naomba jina la huyo afisa usalama barabarani kama na mjua hivi long time sana tuliachana nae kule ludewa anyway na hapo ni wapi sio Iringa -mbeya Rd jamani? duuuu nimekumbuka sana home ,jamani TZ kutamu EEEEEEEEEEEEEEE!

Mpoki naomba tuwasiliane piusmicky@hotmail.com
huyu jamaa aliefanya kazi hii ni anasahili kupata cheti cha ushinda maana kulipindua hili dude ni shughuli pevu ile mbaya.
Post a Comment