Saturday, April 19, 2008

AJALI KIBOKO

Ajali kama hizi tumezizoea katika maeneo mengi nchini na hutokea na kusababisha hasara kubwa.
Lakini hii ni kiboko haijapata kutokea labda kama kun amdau kawahi kuona.



3 comments:

Anonymous said...

naomba jina la huyo afisa usalama barabarani kama na mjua hivi long time sana tuliachana nae kule ludewa anyway na hapo ni wapi sio Iringa -mbeya Rd jamani? duuuu nimekumbuka sana home ,jamani TZ kutamu EEEEEEEEEEEEEEE!

Anonymous said...

Mpoki naomba tuwasiliane piusmicky@hotmail.com

Othman Michuzi said...

huyu jamaa aliefanya kazi hii ni anasahili kupata cheti cha ushinda maana kulipindua hili dude ni shughuli pevu ile mbaya.