Mchezo wa kuovateki kushoto lorry kama hili kwakuwa linaenda spidi ndogo ni noma linaweza kukuachia mzigo wote!
1 comment:
Anonymous
said...
hivi huko kwenu hakuna polisi wala cameras jamani maana watu wanaendesha namna hiyo wanahatarisha maisha ya nyie wananchi na ndugu wa hao polisi wanapata kidogo kidogo hatari hiyo jamani.unfortunately I dont know a lot about Tanzania I left the country when I was 10 yrs

Post a Comment