MPIRANI BUSH
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika
akipiga penelti ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa mashindano ya
Kombe la Muungano kwenye Uwanja wa
Igowole, Mufindi, mkoani Iringa
Michezo kama hii ikiletwa bush inakuwa na utamu wake kama watu ambao wameshafika Igowole hawatashangaa mavazi haya mwezi huu ikiw ani jioni tu!
Mchezaji Gaston Sanga wa timu ya Boma FC akijaribu kumtoka
Tesy Daud wa Uniliver katika pambano la ufunguzi wa mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment