Wednesday, April 30, 2008

HATIMAYE KIKWETE ATETA NA TSVANGILAI


Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha Upinzani nchini Zimbabwe ,The Movement for Democratic Change(MDC)Bwana Morgan Tsvangirai jana jijini Addis Ababa wakati viongozi hao walipokutana kwa mazungumzo ya faragha katika hoteli ya Sheraton.

1 comment:

Anonymous said...

Bwana Morgan tsvangirai unaijuwa sehemu inayaitwa ZANZIBAR sisi husema mwenyemacho hambiwi tizama hapo usijidanganye