Wednesday, April 09, 2008

JESHI NGANGARI


Askari wa jiji wakikatisha katika moja ya mitaa ya Dar es Salaam kutafuta wanaovunja sheria. Kazi inalipa hiyo!

2 comments:

Anonymous said...

Hehehehehe asante Mzee wa sumo.kweli kazi yao inalipa inaonyesha huyo askari wa nyuma ndio kwanza anaanza kazi maana afya yake kidogo ina mgogoro lakini tumpe miezi 3 tu atabadilika na wa mbele kulaleeek linaonyesha zoefu limenenepeana kama paka la jikoni kwa mali za kudhulumu wamachinga. Zee la Kitaulo-UK

Anonymous said...

Tumbo hilo kweli Dagaa za kina Mama Ntilie zitapona?Hebu Jiji wasifanye masihara.Sifa moja muhimu ya Askari yeyote lazima awe Fiti Kiafya.Tumbotumbo huyo unaweza likuta lina umri wa miaka 19 tu,kula boda kulala boda,dezodezo kwa kwenda mbele maana hata mawazo halina!Askari wa aina hiyo wanaitwa 'Fagiafagia' hakibaki kitu hapo mze,hata iwe utumbo utakwenda!We haya we!Mshahara wa mwezi shilingi 80,000/=,Hiyo Mimba kaitoa wapi?