Wednesday, April 09, 2008

MAISHA MERERANI

Baad aya migodi ya Mererani kufungw awachimbaji (Wanaapolo) maisha yamekuwa magumu na sasa wameanza kutafuta mabaki ya mchanga uliotupwa kutoka kwenye mashimo ili kuangalia kama wataambulia kajiwe cha kuwatoa kwa siku kadhaa.

1 comment:

Anonymous said...

kweli maisha magumu...mafisadi wanaona hilo? hebu wapeni hata misaada jamani...