MAISHA YA MTANZANIA
Maisha ya mtanzania ni barabara hii ielekeayo kwenye mafanikio, huwa ni ndeeefu na mara nyingine mtu husafiri bila kufanikiwa kufika mpaka anakufa. Wengine tunatembea kw amiguu , wengine baiskeli na wenye magari ni wachache ambao hufika huko.
No comments:
Post a Comment