Thursday, April 10, 2008

MAMBO YA KUPASUA ANGA

Precision Air walikuwa wanapasua anga kwa andege hizi za ATR.
Sasa wamepanua wigo na hii itakuwa Boeing ya kwanza kwa shirika hilo ili kupasua anga zaidi nahivyo kupanua wigo wa safari za ndani na nje ya nchi. Big UP!

No comments: