Thursday, April 10, 2008

Mary Irecha akikagua dumu la mafuta ya kupikia katika moja ya maduka Mwenge jijini Dar es Salaam. TBS imekuwa ikidhibiti uuzaji wa bidhaa zisizofaa kw amatumizi ya binadamu. Hii ni poa sana kw amaisha ya watanzania kwa kuwa mafamba yamezidi kwasasa hakuna kitu Original kuanzia chakula simu na hata nguo!

No comments: