Tuesday, April 08, 2008

MAPAPARAZI BWANA!

Kutoka kushoto Edwin Mjwahuzi wa Mwananchi Isakwisa Mwaikugile na James Randa wa Star TV na RFA wakisakata ngoma kwa staili ya kuchokoana vidole katika harusi ya Sanga. Mitindo mingine!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Mzee wa sumo lugha yako ina utata!!!