Tuesday, April 08, 2008

MASKINI BWANA!

Yaani wanasema mtaji wa maskini ni nguvu zake, lakini kuna wakati nguvu huisha kutokana na majanga kama ya mvua! Sasa ofisi katika hali kama hii itafunguliwaje?

No comments: