Tuesday, April 08, 2008

WAPINZANI WASUSIA KIKAO

Wabunge wa upinzani wakitoka nje ya ukumbi wa bunge leo baada yakususia kikao kutokana na kutoafiki hatua ya CCM kuchelewesha muafaka wa Zanzibar!
Viti vya wapinzani vikiwa tupu bungeni baada yakuondoka, wa CUF wamerejea Dar es Salaam kwajili yakuandaa maandamano ya kupinga CCM. Tunasubiria tu mabomu ya machozi, tutajuta wapiga picha!

No comments: