MGOMO DALADALA
Wananchi wakishuka katika pick up mjini Mbeya jana baada ya kuanza mgomo wa daladala wakidai kupandisha nauli kutoka sh 200-400 kwa safari za mjini na Sh500 kwa nje ya mji.
Taabu ya usafiri iliwaponza wanafunzi wengi ambao walishindwa kuwahi shule.
No comments:
Post a Comment