Saturday, April 05, 2008

MERERANI

Sehemu ya barabara ya kuingilia katika migodi ya Mererani ikiwa imeathiriwa vibaya na mvua zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha vifo vya wachimba madini.

No comments: