Saturday, April 05, 2008

USAFIRI

Gari likiikatisha katika barabara ya kuelekea migodi ya Merelani mkoani Manyara usafiri wa huko si mchezo bil afourwheel hufiki.
Hata kama sio Station wagon hata hii pickup inakuwa nzuri zaidi kwani mnaingia wengi.

No comments: