Sunday, April 27, 2008

MSAADA BUSH

Kijana akijisaidia katika choo cha shule moja wilayani Kasulu, yaani wananchi wa huko wameshindwa kuweka sawa vyoo katika shule za kata ambazo zimejengwa hivi karibuni.

Sio kwa choo kilichogoma wengine wanaingia bush wakati wa break sijui watanzania wa mijini tunawasaidiaje wenzetu hawa wapate elimu bora?

2 comments:

Anonymous said...

wananchi au serikali yao?

Anonymous said...

HIVI MTU KAMA HUYU AKIJA KUGONGWA NA NYOKA KUNAKO SEHEMU NYETI ATAMLAUMU NANI????!!