Saturday, April 12, 2008

MSHIKAMANO

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwakunjisha ngumi wazanzibari alipohutubia.
wananchi wakikunja ngumi kuonyesha Peoples Power!
Mrema akitema cheche mkutanoni hapo.
Duni Juma Duni kama kawaida aliweka wazi msimamo wake wa kutoendelea na uvumilivu.
wananchi wa Zanzibar ambao ni wanachama wa CUF wakiandamana leo asubuhi.

4 comments:

Anonymous said...

Well done mzee wa sumo kwa mapicha ya nguvu. nakufagilia sana.

Anonymous said...

Ili mradi wanaandamana kwa amani , jamani sisi hatutaki vita kabisaaaaa

Anonymous said...

Mpoki, tunashukuru kwa picha endelea kutupa miupdate

Anonymous said...

Mremaaa, jamaa kapoteza kabisa umaarufu tafikiria sio yule aliyekuwa anasukumizwa kwenye gari, sasa hivi anaweza kupita hata watu wasigeuke kumwangalia, hiyo ndio siasa bwana.