Tuesday, April 29, 2008

MTOTO ALIYECHINJWA AZIKWA

Kichana aliyekutwa na kichwa ch aMarehhemu Salome na kutikisa nchi kwa kitendo hicho, wazazi sasa tunafungia watoto na kusindikiza wakienda shule. Tuliogopa vibabu kumbe wadogo ndio balaa! Yuko polisi wakati mwenzake kazikwa leo.

Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni kabla ya kuelekea kumzika mtoto Salome (3) leo. mamia ya watu wamejitokeza kumuaga mtoto huyo.
Wazazi wa Salome Yohana aliyekutwa amekufa siku ya Jumamosi na baadae kichwa chake kukutwa kikinyonywa damu na jamaa pale juu wakizika mwili wa mwanao leo jioni katika majkkaburi ya Segerea.

No comments: