Tuesday, April 29, 2008

BOING YA PRECISION YAANZA KAZI

Abiria wakishuka jijini Mwanza baada ya kuzindua safari za ndege ya Boeing ya Precision Air.
Jamaa akichukua picha ya ndege hiyo sasa ndio ushindani utakolea kwa wenye biashara hiii, tunasubiri Community!

No comments: