Stesheni ya kigoma hapa ndio mwisho wa reli ukiingia jumba hili safari ya Pwani Dar es Salaam inaanza. Mtoto wa Kiha akiuza bidhaa zake katika njia ielekeayo Kasulu, very natural!
2 comments:
Anonymous
said...
Ni kweli ni mwanamke asilia,kapendeza sana. Thanks Mpoki
2 comments:
Ni kweli ni mwanamke asilia,kapendeza sana.
Thanks Mpoki
Pipo wako nachuro, na hata karoti wanazouza ni nachuro, tena hazijatiwa mbolea ya chumvichumvi! Nimejuaje? Hahaha ...
Post a Comment