Tuesday, April 29, 2008

KARIBU KIGOMA

Stesheni ya kigoma hapa ndio mwisho wa reli ukiingia jumba hili safari ya Pwani Dar es Salaam inaanza.
Mtoto wa Kiha akiuza bidhaa zake katika njia ielekeayo Kasulu, very natural!

2 comments:

Anonymous said...

Ni kweli ni mwanamke asilia,kapendeza sana.
Thanks Mpoki

Anonymous said...

Pipo wako nachuro, na hata karoti wanazouza ni nachuro, tena hazijatiwa mbolea ya chumvichumvi! Nimejuaje? Hahaha ...