Binti huyo, Rehema Kefa (18) amekamatwa jana kwa madai ya kuwa katika harakati za kutafuta damu na miili ya binadamu. Inadaiwa kitendo hicho alikuwa anakifanya katika zahanati iliyoko Tabata, Dar es Salaam.
Binti huyo amekamatwa siku nne baada ya mtoto mwingine wa kiume, Ramadhan Mussa (18)kunaswa katika eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbi kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha mtoto amabcho alidai kuwa ni anampelekea shangazi yake kama zawadi.
Ilidaiwa kuwa alipokamatwa na kuhojiwa juu ya kichwa hicho, Ramadhan aliyedaiwa kuwa na umri wa miaka 12, alikitoa na kuanza kukitafuna.
Ramadhani alikutwa na kichwa cha mtoto Salome Yohana (3) aliyeuawa Ijumaa usiku kwa imani za kishirikina na kuzikwa juzi kwenye makaburi ya Tabata Segerea, Kwa Bibi juzi.
Lakini Rehema alipokuwa anajieleza baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Buguruni, jijini Dar es Salaam jana alidai yeye ni mkazi wa Tabata Msimbazi na kukiri kuwa alifika katika Kituo cha Afya Tabata kwa agizo la bibi yake .
9 comments:
sema la ukweli, MREMBO hasa huyu dada. Hiyo picha ya mwanzo ametoka bomba amependeza jamani! hahahahaaa.
Yaani kasura hako, nadhani atakuwa na boyfriend. au ndio huwa anawanyoya damu. yaani kwanini asiwakamate watu wakubwa? wangewakamata hata hao mafisadi au malaya, au wezi au wanaotembea nje ya ndoa zao. Mbona watu wangeshika adamu.
Jamani bongo kuweni makini, unaweza ukawa na boy/girl friend kumbe mwanga, ukilala naye anakunyonya damu. Hii shughuli sasa.
MMhhh ila mdada kasura ka picha ya kwanza juu ka MODO!!
Dada T
duh kibinti kizurikama hicho.yaani daah mbona hana meno kama mavampire mengino.
Duh!!! kudadeek kitoto kizuri inaonyesha hata shughuli yake nzuri ya kichawi chawi,kingetafuta jamaa wa kumtunza kikaacha mambo yake ya kishirikina. mdau Zee la Kitaulo UK
Naona huyu anaonewa tu.Kabinti kazuri kama haka.Au alikuwa anatafuta vitu vyengine vya kunyonya lakini sio damu.wanamsingizia tu huyu.
mzee wa sumo fatilia huko selo uone kama hawa wachawi wanapewa vyumba vyao private, ila kama huyu nadhani afande wa zamu anaweza mlaza getto kwake!!
maana ni mkubwa anafaa kwa ndoa ya one night stand kwa askari wetu!
Pose la Picha ya pili ni mwanana kabisaaaaa.....!!
Anyway turudi kwenye mada, huyu amekiri kuwa yeye ni mchawi. Inatakiwa atoe ukweli tu hapo makao makuu yao yako wapi ili uweze kuumaliza ushirikina huu. Abanwe mbavu mpaka aseme....
Mdau
Huyu bint kuambiwa kua ni kigagula hainiingii akilini, na hata ikiniingia akilini haikai.
Iweje mchawi asiwe hata na soni usoni kwake???!!!, mchawi awe na nguvu ya kuangalia watu kiasi hiki?!!!!.
Kwa vile Afrika hatuna watu wenye uwezo wa kuchunguza binaasam wenzao, lakini lakini wangekuwepo lingejulikana tatizo la binti huyu, lakini sio uchawi.
Hizi ni stress za maisha zinazomfanya huyu binti kila analoulizwa kwake iwe sahihi.
Naomba No. yake ya simu...huyu sio mchawi.
Mzee wa sumo ingekuwa enzi zako zile wakati ukiwa mcheza kikapu maarufu pale Makumira unakutana na kamtego kama hako ungefanyaje? Manake kako bomba kweli unakula tunda hivihivi do. Kweli inauma sana
Post a Comment