Acheni mambo ya UTIZED na matusi yasiyo na maana! Mkianza hivyo baadae mtakuja malizana wenyewe kwa wenyewe huko Zenj! Shauri lenu! Kama wa-TIZED wakiamua kutawala kwa nguvu wadhani watashindwa huko visiwani?? Fikiri mara mbili kabla hujaandika wewe mpemba sifuri asilimia!! UNGUJA oyeehh!!
kwani mpemba ni nani na muunguja ni nani na mtangamyika ni nani? sote ni ndugu matusi hayana maana zaid tuombe amani na usalam na maendeleo ktk ncxhi yetu,chama chochote kikitawala hakuna mabadiliko mambo ndio hayo hayo na umaskin kuzidi.cha msingi wakae waeleawane kwa kuleta maendeleo ya nchi na sio kuleta mfarakano.m,mungu aibariki zanzibar na tanzania kwa ujumla aiepushe mabalaa na matatizo atupe furaha amani na maendeleo ktk nchi yetu amin.
Tanzania Bara kuna Viongozi wanaonufaika na mgawanyiko baina ya Pemba na Unguja.Hilo tumeshalistukia!Hamna chenu.Endeleeni kutwanga maji katika kinu ipo siku mtashikishwa adabu!Wenyewe Unguja na Pemba wesha anza kulibaini hilo.Zanzibar Haiwezi kugeuzwa Mkoa wa Bara na kamwe huwezi kuendelea kuwa na serikali mbili katika Muungano,upande mmoja wa Zanzibar uwe na serikali mbili ya Muungano na ya Zanzibar NA HUKU BARA uwe na serikali moja tu ya Muungano halafu uwageuze watanzania wajinga wasijue kinacho endelea!Kinachopiganiwa hapa ni HAKI TU hakuna kingine!Wahafidhina zao 40 ziko ukingoni!
Maalim Seif kaza Buti kamwe usitetereke!Yatasemwa mengi sana lakini wenye akili zao wanathamini kazi yako.Ipo siku Wazanzibari wenyewe watakuja baini umuhimu wa kazi uliyoipigania katika kipindi chote hichi cha Uongozi wako.Wako wapumbavu wanaopakazia kwamba una lengo la kuvunja Muungano.Hilo si kweli.Wapo wapumbavu wanao eneza uzushi kwamba umedhamiria kurejesha utawala wa waarabu.Na hilo nalo si kweli.Wewe umesoma na una akili zako huwezi kudhamiria yote hayo mawili kwa sababu unajua fika kwamba Katiba haitakuruhusu na pia si kitendo cha maendeleo watu kugawanyika katika kipindi ambacho mataifa makubwa ya ulaya yanatafuta mbinu bora za kuungana zaidi na kuwa taifa moja seuze sie wanyonge kiuchumi!Usikatishwe tamaa na wale watakao sema kwa hila zao kwamba umezeeka au umeshabombea mara nyingi sana eti sasa ustaafu siasa.Tunasema wewe bado una nguvu za kijana mpaka kazi itakapo timilika ndipo tutakapo kuruhusu ukapumzike.Kelele za mahayawani zisikukoseshe usingizi.
Maalim Seif hakuna kustaafu mpaka sisi wenyewe wafuasi wa CUF tukuruhusu upumzike.Nguvu bado unazo ati!Mpaka CUF iingie madarakani visiwani Zanzibar kwa kura ya wazanzibari walio wengi kidemokrasia kabisa bila ya wizi wa kura.Wenzako watamaliza vipindi vyao vya uongozi kwa mujibu wa Katiba ya nchi wewe utabakia palepale.Wamesha anza kuweweseka kuhusu Historia ya kweli ya visiwa vya Zanzibar.Nani asiyejua kwamba Zanzibar iliachiwa na Muingereza mwaka 1963 na kukabidhiwa kwa wazanzibari wenyewe waiongoze japo ikiwa ingali katika mpito tu wengine wakidhani bado inaendeleza ukoloni uleule,kumbe sivo lilikuwa ni suala la muda tu mageuzi yatokee.Hata katika Umoja wa Mataifa kumbukumbu hizo zipo kwamba Zanzibar iliachiwa na waingereza na kuwa huru mwaka 1963!Mwaka mmoja baadaye yakaja Mapinduzi 1964 January 12,na miezi Mitatu tu baadaye ukaja Muungano wa Tanzania.Nani mwenye uwezo wa kuibadilisha Historia hiyo japo haiwapendezeshi baadhi ya wahusika?Na hata mtu akajaribu kuibadilisha ,itasaidia nini katika kurejesha nyuma mabadiliko ya kidemokrasia yanayo endelea hivi sasa visiwani Zanzibar na duniani kote?
9 comments:
Huyu jamaa hafai kabisa kuwa Rais wa Zanzibar.....
Nenda wewe Mtized ukawe rais wa zanzibar...! Kinuka kojo we!
Nenda wewe Mtized ukawe rais wa zanzibar...! Kinuka kojo we
Acheni mambo ya UTIZED na matusi yasiyo na maana! Mkianza hivyo baadae mtakuja malizana wenyewe kwa wenyewe huko Zenj! Shauri lenu! Kama wa-TIZED wakiamua kutawala kwa nguvu wadhani watashindwa huko visiwani?? Fikiri mara mbili kabla hujaandika wewe mpemba sifuri asilimia!! UNGUJA oyeehh!!
Eeeh makubwa haya, na matusi tena??
hatutafika kabisa, heshima ni kitu cha bure

Post a Comment