Tuesday, April 15, 2008

WANASEMAJE


Hapa wazee wetu walikuwa wanazungumza napenda mchangie caption ya mazungumzo hayo katika picha ya kitambo kidogo.

6 comments:

Anonymous said...

bwm aka ben wille nkapa anamwambia jk aka julius kambarage mpya aka jakaya kikwetu kuwa ile nyumba yangu ya lushoto nimejenga kwa fedha za wananchi ila usinifanyie ntimanyongo wewe kula jiwe tu

Anonymous said...

Unasikia Kijana,Urais ni kama Umungu,hakuna atakaye kugusa,Katiba yetu si unajua mbovu!Aaaagh Midaraka kibao,inaudhi aiseee!Usifanye haraka Kula.Kula taratibu usije ukamshika Kipofu mkono umeumia!Niulize mie.Na mahuruma yangu haya kumbe jamaa wanatia ndogondogo richmond mara bulyankulu,mara epa ile ya mwanzo kabisa eeeeeegh yes yes Melemeta!Unasikia.Mambo yaliponizidi kimo nikatia timu hadi Uswisi mwezi mzima naganga mguu.Ebo, hivi unafikiri ukubwa mchezo oooooh kalaga baho!Wewe wa confuse waTZ kwa matripu kibao ulaya mara marekani.Mara umewaltea Manchester United si wana penda kabumbu wale wajinga,lakini na wewe huku aaaah hukosi mshiko au vipi, aaaaaiiii!Polepole nakwambia kijana.Ukija na ma Political Theories yako ya Utopian hapa umelala na njaa!Niulize kina Karl Marx na Mao wako wapi? ooooh sijui African Socialism nani alikwambia habari hiyo? Siku hizi ni Utandawazi wewe kule mwisho utaongezea Utandawizi au vipi? Usirogwe kununua Benzi mwanangu,wewe endelea kununua Baiskeli tu!Wakija kukustukia aaaagh ushajenga Marekani na Australia,kumbe je!

Unknown said...

Mkapa: Bwana mdogo haya mambo usiyachukulie poa!! aaaha!!

Kikwete: Usijali mkubwa sio mgeni sana

Anonymous said...

Dogo kwani hii sherehe yako haina konyagi? Duh natamani ningekuwa Lushoto. Konyagi zipo za kumwaga dogo.....

Anonymous said...

BWM:hiyo njemba kulia kwangu mbona siijui,maana imekomaa kwa style!
JK:kaka hiyo njemba inakuchunguza mi nimewaambia NEC haina haja wakaninang'ania niilete ikupige madesa!
BMW - hapa ndo wamefika unajua naitwa nani dogo?(BWM akishika tai)
BenjaminWilliamMfisadi

Anonymous said...

BWM: Hivi Chenge ulimpa comission niliyokuambia umgawie kuhusu Rada? mbona anaita vijisenti?

JK: nilimuachia Lowassa ule mshiko, nitamuuliza