Saturday, May 31, 2008

CHEREKO


Katika pitapita leo nikakutana na wadau wa blog hii wakiwa wamefunga ndoa, nao si wengine bali ni James Msuya Hellen Kombe katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Keko jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika katika bustani za Karimjee. Bwana harusi ni mfanyakazi wa Kituo cha kudhibiti maradhi katika Ubalozi wa Marekani na bibi Harusi ni Mtaalamu wa Taknolojia ya mawasiliano katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA). nawapa Big up Saaana!

1 comment:

Anonymous said...

woow wamependeza, wish u all the happiness in the world