Dr Slaa akipongezwa na mkewe ambaye ni diwani wa CCM mara baada ya hukumu hiyo. Washabiki wa Dr Slaa wakishangilia mara baada ya hukumu kutolewa.
2 comments:
Anonymous
said...
MMhhh kweli siasa ni shughuli pevu. Wananichekesha sana Dr. Slaa na Mkewe. Hivi Yaani Mkewe ni diwani wa CCM na yeye ni Mbunge wa CHADEMA, Yaani kazii ipo. Sasa wakianza mijadala ya vyama humo ndani sijui nani ataamua. For me its fanny any way. Nawatakia mafanikio mema katika siasa.
mimi nawapongeza kwa kweli,kwenye siasa siasa ikija mambo ya ndoa familia mnakuwa kitu kimoja,umenifurahisha sana mama slaa wewe ni mfano wa kuigwa. kuna wanawake nimeona wanaogopa kuachwa na waume zao kwa kuwa wafuasi wa chama flani. Ms Bennett
2 comments:
MMhhh kweli siasa ni shughuli pevu.
Wananichekesha sana Dr. Slaa na Mkewe. Hivi Yaani Mkewe ni diwani wa CCM na yeye ni Mbunge wa CHADEMA, Yaani kazii ipo. Sasa wakianza mijadala ya vyama humo ndani sijui nani ataamua. For me its fanny any way. Nawatakia mafanikio mema katika siasa.
Dada T.
mimi nawapongeza kwa kweli,kwenye siasa siasa ikija mambo ya ndoa familia mnakuwa kitu kimoja,umenifurahisha sana mama slaa wewe ni mfano wa kuigwa.
kuna wanawake nimeona wanaogopa kuachwa na waume zao kwa kuwa wafuasi wa chama flani.
Ms Bennett
Post a Comment