Thursday, May 15, 2008

KORTINI ARUSHA LEO

Katibu wa CCM mkoa wa Arusha, Mohamed Babu (kati kati) akiwa na wananchi wengine katika chumba cha Mahakama Kuu mjini Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya uchaguzi karatu ambapo madai yote ya makada watatu wa CCM kupinga ushindi wa Dk Slaa yalitupwa.

No comments: