Thursday, May 15, 2008

DR SLAA ASHINDA KESI

BREKING NEWS
Mbunge wa Karatu na mlipua mabomu mkubwa nchini amefanikiwa kushinda kesi ya uchaguzi dhidi yake ambayop mkuu wa wilaya ya Ilala patrick Tsele alikuwa akidai kuwa uchaguzi haukuwa wa haki. Kwa maana hiyo ataendelea kuwakilisha wananchi wake wa Karatu kwa kipindi kilichobaki. Ushuindi huu umepokewa kwa furaha kubwa na cham ahicho na kuona ni ushindi dhidi ya CCM.

No comments: