Gari yangu ingekuwa gold plated na inaoshwa na wataalamu tu sio kupeleka magomeni!
Sasa ukifika kwenye laptop ungekimbia inakuwa ya gold na kuzungushiwa diamond ili hata watoto wakiiona wakimbie!
N akwa safari ndogo ndogo ningekluwa natumia kagari kama haka!
Na baada ya kazi haya yangekuwa makazi ya muda wa likizo ng'ambo mnaita summer nini sijui?, Life goes on!
1 comment:
Duh!
Post a Comment