Hussein Bashe ametangaza wazi azma yake ya kugombea uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM leo asubuhi na mikakati yake kibao ya kuimarisha umoja huo. Kinyang'anyiro hicho sasa kinachukua kasi baada ya watu kuanza kuanika sera zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaokuja. Amina Chifupa alikuwa na nia kama hiyo kama asingepoteza maisha!!!!!!! Haya wana CCM mpambano huo, ila kanuni inataka usiwe umezaliwa kabla ya januari 1978!
1 comment:
Naomba tuwekewe CV yake
Post a Comment