Friday, May 16, 2008

MKWARWA WA WAPEMBA

BREKIN NIUZ Kama mlipata taarifa leo kuwa wapemba wamedai iwapo wenzao nane waliokamatwa na usalama wa Raia na kuwekwa ndani kwa madai kuwa ni wahaini baada yakudai UNDP kwamba Pemba imetengwa wasingeachiliwa wote 10,000 wangejisalimisha vituo vya polisi.
Leo mkuu wa Usalama wa Raia, IGP Said Mwema leo ameamuru watu hao waliokuwa ndani kwa siku kadhaa waachiwe huru na uchunguzi wa kesi yao utaenda taratibu. Awali usalama wa raia walidai kuwa watuhao hawaruhusiwi kutembelewa hata na ndugu zao kwakuwa kosa lao la Uhaini ni kubwa!!!!!!!!

No comments: