Saturday, May 24, 2008

MADAWATI KWA WATOTO

wanafunzi wa shule ya sekondari iliyoko Ilula mkoani Iringa wakiwa na madawati tayari kupeleka shuleni kwao. Ufunguzi wa shule za sekondari katika kata unaenda sambamba na uwekaji wa samani.

No comments: