Wednesday, May 28, 2008

SAFARI YA BUSH

Watoto wakijiburudisha na mpira wa miguu katika kijiji cha Bujela, Lugombo wilayani Tukuyu, niliwakuta nilipohudhurua mazishi kidogo ndio maana nilipotea.
Halafu nikakuta watoto wa kike wakiandaa kujipikilisha sijui kama watoto wetu wa mjini kama wanaweza kucheza michezo hii!

No comments: