Ndizi zikiwa zinaandaliwa na wananchi kwa ajili ya kuuza kwa walanguzi katika Maeneo ya Lugombo tukuyu mkoani Mbeya juzi, mkungu Mmoja huuzwa kati ya sh 1,500 na 3,000. Sijui lini wajasiliamali wanaotumia jembe watakuja kutajirika namna hii?
1 comment:
Anonymous
said...
Mzee wa Sumo hiyo ni Lugombo ya wapi maana Tukuyu kuna Lugombo nyingi.Mwakaleli kipo kijiji cha Lughombo,mbele ya Ushirika njiani ukielekea Kyela ktk kijiji cha Katundulu kuna Lughomba pale barabarani,na Maeneo ya Kiwira kuelekea Magereza nako kuna Lughombo je hapo ni wapi kai ya sehemu hizo nilizozitaja Mdau UK
1 comment:
Mzee wa Sumo hiyo ni Lugombo ya wapi maana Tukuyu kuna Lugombo nyingi.Mwakaleli kipo kijiji cha Lughombo,mbele ya Ushirika njiani ukielekea Kyela ktk kijiji cha Katundulu kuna Lughomba pale barabarani,na Maeneo ya Kiwira kuelekea Magereza nako kuna Lughombo je hapo ni wapi kai ya sehemu hizo nilizozitaja
Mdau UK
Post a Comment