Friday, May 30, 2008

MAHAKAMA KUU LEO

Askari Magereza wakidhibiti umati wa watu waliojitokeza kushuhudia ushahidi wa kesi ya mauaji ya akina Zombe wakati wakishusha watuhumiwa.

Wananchi wakianagalia kwambali wakati watuhumiwa wanashishwa kabla ya kuanza kusikilizwa kesi leo asubuhi.

1 comment:

Anonymous said...

hayo ndo mapicha yan sie twataka uwe watuwekea mzee..matukio ya kila siku na hii kesi ya hawa usiiiache kabsaaa kip on getting us up2fated